Duration 4:59

Watoto 8 wa Marais wa Afrika wanaoongoza kwa mvuto

555 077 watched
0
1.6 K
Published 25 Nov 2017

Hii ndio imetajwa kuwa orodha ya Watoto nane wa kike wa Maraisi wa Afrika wanaoongoza kwa uzuri.

Category

Show more

Comments - 313
  • @
    @daprince75453 years ago Hata mimi mtoto wangu ni mzuri mashaallah. 3
  • @
    @ezekieledson5027 years ago , aa! Mtoto wa kagame ase ndo m naona wamnasemaje wadau. 5
  • @
    @sophiajumah48087 years ago Wooii! Wakawaida sana bora ht wa ruanda kidogo. 4
  • @
    @lisamedy94396 years ago Kagame nime mkubari ni mzuri sana ni namba 1. 5
  • @
    @catherinemaina17974 years ago Ngina kenyataa ndiye mrembo kushinda wote. 4
  • @
    @luzigakapande69212 years ago Hakuna mzuri hapo mzuri ni mke wangu mama ana. 1
  • @
    @rosemarybenjamin43337 years ago Uyu wa kagame uyu noma iyo shingo yake sasa mashaalh km twiga. 9
  • @
    @januaryjohn79777 years ago On my side wa kagame the first followed by mswatiz daughter. 18
  • @
    @maberamainchurch91825 years ago Huyo wa kenyatta noma afaa kuwa namba moja. 1
  • @
    @chandrnyoeliakim10065 years ago Mama yangu angekuwa mtoto wa rais angewazidi wote, ni mzuri. 4
  • @
    @florenciaearnest52416 years ago @claus i love that. Everyone is beautiful. 1
  • @
    @athonyfrancis88897 years ago Jamani namba 2 ndie mrembo alitakiwa awe namba moja. 2
  • @
    @issaramadhani18675 years ago Mtoto mkali na mzuri ni wa paul kagame rwanda. 9
  • @
    @frankkisamo27777 years ago Namba 2 alipaswa kuwa wa kwanza bhana mtt mzur. 1
  • @
    @rehemajohn26447 years ago Uyo mtoto wa kagame ndio alitakiwa awe wa kwanza mzur mpaka kero. 41
  • @
    @samiamaundi95296 years ago Angel kagame urimwiza cyane gose wote unawazidi.
  • @
    @ramadhanichilumba36107 years ago Hapo labda angel kagame achana na hizo ngiri zingine. 3
  • @
    @silvamsophe43927 years ago Mm nimeona mmoja tu ndie mkali wa rwanda wengine hakuna kitu. 1
  • @
    @khadijaarkam57017 years ago Mmmh kwahy kwetu tanzania ndio tumeanguka jaman mbona warembo kibao bahn.
  • @
    @yasintakahamba1320last year Mtoto wa kagame angekuwa namba moja maana nikazuri sana. 1
  • @
    @asiazuberi26246 years ago Cijaona najikubali mm kwa nn nimkosoe mungu uumbaji wake. 2
  • @
    @wahidamohamed99657 years ago Du huyo wa mswati kweli mzuri na wa rwanda. 1
  • @
    @princelywensely47877 years ago Mh. Labda wa rwanda nakubali, iakini hao wengine ni wakawaida sana. 2
  • @
    @salvationsalvatory90976 years ago Wa kwanza ni mtoto wa kagamee! Hawa watafiti ni waongo. 4
  • @
    @chwabizobk81605 years ago Kawaida tu jaman. Co wazur kwa sura kivile.
  • @
    @rashidmohdrashidmohdrashid57917 years ago Waruwada mzur ndie alie faa awe wa kwanza bora na wa kenya kidgo huyo namba1 duh. 1
  • @
    @khadidjadjumaburundi17615 years ago Ningelikuwa mutoto waraisi mimi ndo nambar moja nimewashinda wote.
  • @
    @shekilashekilaabudulha50386 years ago Yaan bora huyo wa pli lakn hao wengine ni shidaa. 1
  • @
    @kingcopper_tz7 years ago Mrembo wangu ni enji kagame tu hapo wengine wote hamna kitu. 1
  • @
    @marymary43577 years ago Sura mbaya ni akina nani tuonyeshe sana kenya.
  • @
    @tibajuma83965 years ago Wa kagame ndiyo mrembo wwngine kawaida sana. 1
  • @
    @ngundengundengunde81173 years ago Uyo wazimbabwe anauzuriga tofauti yauzur nautajir jaman.
  • @
    @semensalim98157 years ago We unaongelea utajiri au mvuto jaman mbona me cjakuelewa mtoto wakagame ndio namba 1 ww. 2
  • @
    @zulfaomari79924 years ago Hakuna mzur hatammja hapo wote sula kama kibwengo anatazama sizon. 1
  • @
    @asiadotto12956 years ago Me naona mtoto wa kagame ndo wa kwanza lkn uyu wa kwanza mmesingizia. 2
  • @
    @maryamhussen43316 years ago Mm cjaona uzuri jomon labda mseme matajir tu hao mlowataja ata irene uwoya yupo juu
    labda no 2 ndo mzuri.
  • @
    @jameelamct65147 years ago Maraisi wetu hawana watoto wazuri tanzania. 9
  • @
    @princessaidal11305 years ago Wakagame jamani kawazidi wote, alitakiwa ashike namba moja.
  • @
    @abdulramadhan99287 years ago Number 2 ndo wa kwanza na huyo wa kwanza ndowa 8. 1
  • @
    @omarhamad65873 years ago Duh mbon bora ata hao ambao so watoto wa marais ni watembo zaid.
  • @
    @nyererepaul20367 years ago Mh mi hapa naona binti mzuri zaid ni wa paul kagame hawa wengine hata mi. 2
  • @
    @khadijaamour76544 years ago Mbn mnachanganya habar urembo utajiri, elimu kila mmoja ana kipaji chake hapo na si uzuri.
  • @
    @ongeshabani84392 years ago Uyo mtoto wa kangame siyo mrembo ata kidogo, sema amjawai kumwona ana kwa ana tu.
  • @
    @happinessmuhana14366 years ago Wa kagame ndio wakwanza hao wengine wanachechemea. 2
  • @
    @issaramadhani18675 years ago Wa rwanda ndio alitakiwa kuwa wa kwanza.
  • @
    @zachaaaamosy83207 years ago Hahahahaaa sura ngumu kama wamelamba ndimu. 1