Duration 2:9

Mwadui 0-1 Yanga: Goli la Balama Mapinduzi likiimaliza Mwadui nyumbani kwao

42 324 watched
0
190
Published 13 Jun 2020

Yanga SC imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa leo 13/06/2020 kwenye Dimba la Kambarage, mjini Shinyanga. Bao pekee la Yanga limefungwa na Balama Mapinduzi dakika ya 6 ya mchezo. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 36