Duration 7:19

DR. TULIA ALIVYOMKIMBIZA ESTHER BULAYA MBELE YA WAZIRI BASHUNGWA NA MAMA KIKWETE TUKUTANE MBEYA

131 821 watched
0
446
Published 4 May 2021

Kama wasemavyo wataalamu wa afya kwamba, michezo ni afya… naam! Kwa mara nyingine tena Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson anayo good News kwa watu wake wa Tanzania na mipaka ya Tanzania kwamba yale mashindano ya Tulia Marathon ambayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka mkoani Mbeya basi yamepamba moto tena na mwaka huu yatakuwa siku ya tarehe nane mwezi wa tano 2021 pale katika viwanja vya Sokoine huku washindi wakitaraji kujinyakulia zawadi nono lakini kubwa zaidi mapato yatakayopatikana kwenye michuano hiyo yanakwenda kuboresha miundombinu ya elimu na afya.

Category

Show more

Comments - 112