Duration 19:26

UZINDUZI WA SINODI YA MAASKOFU KIJIMBO SHUHUDIA ASKOFU RUWA'ICHI AKIZINDUA

903 watched
0
6
Published 17 Oct 2021

Uzinduzi wa Sinodi ya Maaskofu kijimbo katika Jimbo.la Dar Es Salaam umefanywa na Askofu Mkuu Thaddaeus Ruwa'ichi akishirikiana na Maaskofu Wasaidizi Mhashamu Henry Mchamungu na Mshamu Stephano Musomba katika Viwanja vya Kituo cha Kiroho na Kijamii Msimbazi .

Category

Show more

Comments - 1