Duration 4:23

Dodoma Kumenoga Baada ya Tundu Lissu, Achukua Fomu.

Published 8 Aug 2020

Mgombea wa Urais, kupitia Chama cha Upinzania CHADEMA Tundu Lissu akabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020

Category

Show more

Comments - 3