Duration 5:31

KIJANA ANAYEMUIGIZA SAUTI MARIN HASSAN MARIN ATINGA STUDIO ZA TBC / ATANGAZA HABARI KIMARIN

33 065 watched
0
216
Published 4 Apr 2020

Category

Show more

Comments - 65
  • @
    @nyavas414 years ago Hongera sana uko vizuri sana na unasauti yakuwa mtangazaji mzuri utafika mbali sana. 4
  • @
    @rashidally11494 years ago Huyu jamaa ni nomaa mungu amlaze mahali pema peponi maana yy ni muanzilishi wa vipindi vingi ambavyo mpaka leo vina heat
    1) jambo tanzania tbc 2) mawio zanzibar radio
    3) tuongee asubuhi zbc zanzibar
    4) aridhio tbc
    n. K
    2
    .
    ...Expand
    1
  • @
    @farajagordon47244 years ago Huyu nizaid bwana anasauti nzuri sio kajaribu kazidi hasa. 5
  • @
    @jumason1424 years ago Kijana anafaa kabisa kupata nafasi tbc maana c kuiga sauti tu anasauti hadim kwa watangazaji. 2
  • @
    @gracechalagwa97454 years ago Hongera sana, goodluck wa jina la mwanangu. 2
  • @
    @agent48classified404 years ago Tbc mnajitahidi.
    naona studio safi.
    7
  • @
    @benedictdau91614 years ago Aridhio, mabadiliko makubwa ndani ya tbc, hakika tutakukumbuka marin hasan marini r. I. P. 8
  • @
    @wizydeko14964 years ago Mtoto mzuri huyu mtangazaji jamani mungu kaumba yakhee. 4
  • @
    @binurusm88864 years ago Haa! Jamani huyu kijana tafadhali msimcheleweshe mchukueni hapo tbc ngalau iwe mojawapo ya kumbukukumbu ya hassan marin, chondechonde watamuwahi huyu, . ...Expand 5
  • @
    @komboomar82754 years ago hata bbc kunakufaa uko vizuri kijana. 2
  • @
    @moudyissa69664 years ago Uyu jamaa yupo vizuri jamani ebu nipeni like. 16
  • @
    @maryoswad70224 years ago Mpeni kazi anakipaji cha utangazaji da. 4
  • @
    @rehemamsuya22634 years ago Dah umenikumbusha marin nilikua namkubali sn. 4
  • @
    @yudatadeshayo44344 years ago Aise huyu ni mwandishi wa habari nguli kabisa anapangilia maneno dah mpeni ajira. 4
  • @
    @hamadshein82724 years ago Co unaiga sauti ya bambo au kingwendu. Tisha sana. 4
  • @
    @tabumussa94064 years ago Kijana umeweza sana tunaomba upatiwe ajira tbc. 5
  • @
    @danielmlanda25464 years ago Moja kwa moja binafsi nawaomba tbc mumuajiri huyu kijana. 7
  • @
    @dapinitiative24514 years ago Huyo kijana yuko bomba sana, mmmh lkn kwann anataman saut ya marin wakt yy saut yake ni zaid ya marin? Duh naomba anitafute, tbc mambo yenu ni safi sana, yaan safi saana, nawatakia pasaka njema! 8
  • @
    @raymondkaswaga50554 years ago Atakuwa mtu mkubwa sana huyu dogo kwenye tasnia ya habari. 5
  • @
    @tabletennis62964 years ago Anatamba mbele ya camera kama mwandishi mkongwe kabisa. 3
  • @
    @davydany96484 years ago Sauti yako tu yatosha hakika hata sauti yko yafaa kukalia kitu alichokuwa anafanya. 2
  • @
    @badenbensoni75164 years ago Tujenge utamaduni wa kuwasifu watu wakiwa hai. 10
  • @
    @tabletennis62964 years ago Huyu dogo mbona kama mwandishi ni fundi sana yuko na mvuto mkubwa sana wa habar anajua kucheza na camera kafanya vzr kuliko mwandishi aliemkaribisha. 4
  • @
    @alimakame92154 years ago Bado kidogo kwasababu marin sauti yake ilikuwa nzito huyu yake nyembamba. 2
  • @
    @richardcharle8664 years ago Mpeni kazi sasa maana kuna watu wanaitwa wasafi wakimwona tu wanae. 6
  • @
    @saloumshusko27984 years ago Bado ajaweza labda ajitaidi kufatilia sana hassan marin kwenye clip zake.
  • @
    @rashidally11494 years ago Huyu jamaa ni nomaa mungu amlaze mahali pema peponi maana yy ni muanzilishi wa vipindi vingi ambavyo mpaka leo vina heat
    1) jambo tanzania tbc 2) mawio zanzibar radio
    3) tuongee asubuhi zbc zanzibar
    4) aridhio tbc
    n. K
    2
    .
    ...Expand
    1
  • @
    @binurusm88864 years ago Haa! Jamani huyu kijana tafadhali msimcheleweshe mchukueni hapo tbc ngalau iwe mojawapo ya kumbukukumbu ya hassan marin, chondechonde watamuwahi huyu, . ...Expand 5