Duration 29:59

RECAP: HARMONIZE azidi kumuoneshea jeuri DIAMOND baada ya ISSUE ya kurusha HELA, amjibu kwa KIJEMBE

30 390 watched
0
544
Published 11 Oct 2020

Harmonize na Diamond wameingia kwenye headlines tena. Awamu hii ni baada ya Diamond kudai kuna wasanii wanaorusha hela ili kuwavutia, kauli ambayo imemlenga Harmonize ambaye hakuchelewa kumjibu bosi wake huyo wa zamani kwa kijembe kizito. Fuatilia #Recap

Category

Show more

Comments - 390