Duration 1:1

IKULU LEO: BIMA ZA AFYA KILA MTANZANIA / MALIZENI HILI - RAISI SAMIA SULUHU

105 watched
0
1
Published 6 Apr 2021

# Upande wa afya kuna ajira mpya za madaktari, tumemaliza kujenga vituo vingi na mahospitali, bajeti ya mwaka huu ni kuweka vifaa kwenye vituo vyote na hospitali zote lakini pia kuweka watumishi, kwahiyo Utumishi na TAMISEMI muende mkaangalie hilo la watumishi na vitendea kazi kwenye huduma za afya.

Category

Show more

Comments - 0