Duration 6:7

RC MTAKA AKUTANA NA MACHINGA KUSIKILIZA KERO

191 watched
0
3
Published 5 Jul 2021

MKUU WA MKOA WA DODOMA ANTHONY MTAKA AAHIDI KUBORESHA MAZINGIRA WEZESHI KWA MACHINGA IKIWEMO KUFUNGA TAA ,CCTV CAMERA PAMOJA KURUHUSU KUFANYIKA KWA BIASHARA MASAA 24 BILA BUGDHA YOYOTE. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka ameahidi kuboresha mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara wadogo [Machinga]Mkoani Dodoma ikiwa ni pamoja kufunga taa katika barabara zote za jiji pamoja na CCTV camera za ulinzi hali itakayosaidia wafanyabiashara kupata fursa ya kufanya biashara masaa 24 tofauti na sasa . Akizungumza na wafanyabiashara wadogo [Machinga]Mkoani Dodoma katika kusikiliza kero zao,Mtaka amesema serikali ya mkoa wa Dodoma itajitahidi kuwasha taa kila eneo la barabara ili watu wapate fursa ya kufanya biashara masaa 24 bila usumbufu wowote. Aidha,Mtaka amewaasa Wafanyabiashara kuchangamkia fursa ya soko kuu la Ndugai kwani litakuwa kivutio kikubwa cha kibiashara. USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UWE UNAPATA UPDATE MPYA KILA TUNAPO WEKA HABARI MPYA WAKATI WOWOTE BONYEZA HAPA CHINI KWENYE MAANDISHI YA BLUU /channel/UCcCo ... https://www.instagram.com/kahamatvonline/ #KAHAMATVONLINE #HABARIZAHIVIPUNDE

Category

Show more

Comments - 0