Duration 4:9

WALI WA KARROT - KISWAHILI

232 853 watched
0
1.1 K
Published 1 Mar 2017

Mahitaji: Kipimo cha watu 6 Mchele wa Basmati kikombe 1 na ½ ( kosha , roweka kiasi dakika 20 ) * Kwa kila kikombe 1, tumia maji kikombe 1 na ½ au kutegemea na maelezo ya mchele . Kitunguu cheupe au manjano cha kiasi ½ (1/3 kikombe) Vikombe 2 carrots zilo sagwa kwa randa Vikombe 2 na robo ¼ (maji, au supu ya kuku au ya mboga ) Vijiko 2 vidogo chumvi Kijiti 1 cha mdalasini (kama utapenda) Star anise 1 (kama utapenda) Vijiko 2 vikubwa Samli , au siagi Zafarani kidogo (kama utapenda)

Category

Show more

Comments - 154