Duration 17:10

MGANGA TAPELI 'ANASWA' ACHEZEA KICHAPO, TAZAMA ALIVYOWEKEWA MTEGO NA KUINGIA KINGI

88 602 watched
0
446
Published 19 Nov 2021

MGANGA TAPELI 'ANASWA' ACHEZEA KICHAPO, TAZAMA ALIVYOWEKEWA MTEGO NA KUINGIA KINGI... Mwanaume mmoja, Godfrey Charles, mwenye umri wa miaka 45, mkazi Kibaha Mwendapole mkoani Pwani, amejikuta akichezea kichapo kisha kutupwa nyuma ya nondo katika Kituo cha Polisi Kibaha, kwa madai ya utapeli akijifanya kuwa mganga wa kienyeji. Waandishi wetu, Richard Bukos na Issa Mnally, wamefunga safari mpaka Kibaha mkoani Pwani, na kuzungumza na mmoja kati ya wahanga wa utapeli huo pamoja na ndugu zake, ambao ndiyo waliofanikisha zoezi la kumkamata mwanaume huyo na kumfikisha kwenye vyombo vya dola! ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 164