Duration 12:21

KATIBU MKUU CHADEMA ATEMA CHECHE TAKUKURU KUICHUNGUZA CHADEMA KUHUSU MICHANGO YA WABUNGE.

147 watched
0
3
Published 3 Jul 2020

#CHADEMA #TAKUKURU #MNYIKA #MBOWE #WABUNGE "Baada ya kubaini ile imani yenye mashaka tuliyowapatia Takukuru kuchunguza walichodai matumizi mabaya ya michango ya wabunge wa Chadema, imeanza kudhihirika sio sahihi, kuna viashiria wazi kwamba Takukuru kuichunguza @ChademaTz kuna malengo mengine tofauti ya kisiasa" @jjmnyika Katibu Mkuu Chadema. #vambatv_updates

Category

Show more

Comments - 0