Duration 5600

Niyonzima ni fundi lakini shughuli yangu anaijua

81 005 watched
0
476
Published 18 Jan 2017

Kiungo wa Real Kings ya Africa Kusini amesema kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ndio kaiungo anayemvutia lakini mara zote wanapokutana shughuli anayoifanya anaamini Niyonzima hapendi kukutana nayo.

Category

Show more

Comments - 13