Duration 3:2

Watu 9 wafariki kwenye ajali ya barabarani alfajiri ya leo

14 697 watched
0
103
Published 22 Dec 2021

Idadi ya waliofariki imeendelea kuongezeka tangu asubuhi Ajali ilitokea baada ya basi la abiria kugongana na trela Badi la Dreamline lilikuwa likielekea Mombasa kutoka Nairobi Watu wengine kadhaa walijeruhiwa kwenye ajali hiyo

Category

Show more

Comments - 33