Duration 1:11

HOTEL YA KISASA ILIYOJENGWA MKOANI MOROGORO.

5 775 watched
0
49
Published 9 Mar 2021

Na.Vedasto George. Morogoro Morena hoteli iliyopo mkoani Morogoro karibu na stendi ya mabasi ya Msavu inatajwa kuwa ndo Hoteli kubwa kuliko zote mkoani humo. Morena hoteli inamilikiwa na mbunge wa jimbo la Gairo mkoani morogoro Mheshimiwa Ahmed Shabiby ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya mabasi ya usafirishaji @shabiby_line.

Category

Show more

Comments - 6