Duration 7:30

TAHARUKI NABII AJARIBU KUMFUFUA MAREHEMU, ASHINDWA, WANANCHI NUSURA WAMUUE, AFICHWA NDANI

247 615 watched
0
1.1 K
Published 9 Apr 2021

TAHARUKI! NABII AJARIBU KUMFUFUA MAREHEMU, ASHINDWA, WANANCHI NUSURA WAMUUE, AFICHWA NDANI... TAHARUKI Katika kijiji cha Oldadai Wilayani Arumeru Baada ya Kijana, Hans Remy, Kufariki Ghafla hali iliyopelekea watu wahusishe kifo chake na Imani za Kishirikina akajitokeza mtu mmoja aliyedai ni Nabii aliyetaka kumuombea Marehemu lakini maombi yake hayakufanikiwa ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 501
  • @
    @nurdinkisaria94763 years ago Bangi na ugoro havijawahi kumwacha mtu salamàt 50
  • @
    @kalumbugideon41593 years ago Duniani usipoweza kumjua Mungu... Unaweza kuangaika Sana....Tunamwitaji Sana Mungu pekee kutupa maarifa ya kuishi nayo duniani.... 9
  • @
    @kanalabdillahgaddafi54583 years ago Kumbe Kuna watu wapumbavu sana hapa duniani.
    Hivi unadhani Kuna mtu anae weza kupinga Amri ya Mwenyezimungu (ALLAH).
    1
  • @
    @mimifineliving20103 years ago Kwahiyo Mungu anashindwa na wachawi acheni mizaha,Mungu hadhihakiwi 35
  • @
    @hassanclaris19323 years ago Ndungu zangu hakuna binadamu anaweza kufufua kilicho kufa isipokuwa Allah 23
  • @
    @annasanana51923 years ago M/MUNGU turehemu sisi wanao tue tukutegemee wewe na sio mwanadamu🙏🙏 4
  • @
    @mohamedidangeni3463 years ago Ayo mambo aliyafanya yesu na manabii wengine,Mungu aliowatuma sisi wengine tunadanganyanatu 5
  • @
    @suleimansiasa98003 years ago Jamii hii umejaa ujinga , kufa nikitu cha kawaida kwa binaadamu . kufa kijana haimaanishi ndio uweuchawi. Pili wato waache upotofu mitume ilikuwepo zamani hao ni wadanganyifu, sikulaumuni kwasababu mnaishi kwa kudanganyana na kupeana moyo ... 10
  • @
    @highonebalo82893 years ago Wengi watajikwaa sana kwenye hili.
    Bora kukaa kimya kuliko kuongea ovyo na kumtenda Mungu dhambi kwa sababu ya MTU mmoja ambae hajitambui.
    Mungu atabaki kuwa Mungu tu.
    1
  • @
    @carolmuchiri99213 years ago Global TV Nimetoa Pole kwa Familia ya Marehemu Jama na Marafiki Wake Wote, Mwenyezi Mungu Airaze Roho Yake Peponi Pema, Lakini kama Hakuwa Amempokea Mwokozi Yesu Maishani Mwake, Mwenyezi Mungu Peke Ndo Atamua Pakumraza 🙏🏾🙏🏾😭😭♥️ ... 1
  • @
    @sultanadam55293 years ago Mungu ajaribiwi ata iyo familia wamekosa 3
  • @
    @samsungj7pro64gb53 years ago Inalilah wainna lilah lajihun huu nimtihani kwakweri Allah atustirii waja wakee 3
  • @
    @maindachausa39123 years ago Hofu ya M.Mungu imetoweka, INNALILLAH..................... 8
  • @
    @neemasalema15463 years ago Duh jamani nimecheka kama mazuri
    Kweli kabisa Biblia inasema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa
    7
  • @
    @diamondgeyser79873 years ago Mungu hafanyi kazi katika mazingira kama haya... Maana MUNGU SI WA MACHAFUKO. 1
  • @
    @zenaycechanzinho67023 years ago Eti nabiii 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 bdo mwamposa na wenziwe 2
  • @
    @fadhiliswidhun97793 years ago Kazi ipo saiz utaskia nakutabiria maisha yako et mungu kanioneshaa 1
  • @
    @kiongadecoration77933 years ago Nikisanga yani nabii amezidiwa nawachawi aaaa acheni kudanganyawatu mtakufakizembeeeee☺️☺️ 2
  • @
    @johnmalembo64643 years ago "Hakika mtakufa'" Mungu sio Mwongo. Ni Nani hatakufa? Akifa kijana eti wachawi wamemchukua. Akiishi miaka mingi Hadi akawa mzee eti ni mchawi . Hakuna mchawi ni maneno ya Mungu wote tutakufa. Wacha Mungu tuongeze bidii ya mafundisho ya kweli. Mungu tubariki Watoto wa Tz ... 1
  • @
    @husnasaeed63533 years ago Jamani dunia ina mambo hii kweli kiama kimekaribia 5
  • @
    @hawahabibu6613 years ago Kama angeweza kumfufua bac tungemchukua akamfufue Rais wetu😭😭 Iyo ni kaz ya Mungu alokufa amekufa auwez mkamfufua kweli hawa watu ni mataira🤔🤔 3
  • @
    @neemamollel60573 years ago Nawakubali sana global Tv mzidi kuwa juu
  • @
    @abdulmakbulisunlies25043 years ago Uislamu ndio dini pekee ambayo waumini wake wa kweli walioshiba imani moyoni na hakini mtu anapo fariki hua ndio amefariki na kusema innalillah wainnailaih rajiun tafsiri yake sisi ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea
  • @
    @millionairejeffreysunofbez37663 years ago Nabii wa mwisho ni Yesu tu. alisema tujiadhari ma mitume na nabii wa uongo watakuja na kufanya ishara na miujiza, Yeye ni Alfa na Omega, hakuna mtume mwingine waliofata ni mitume wa Shetani na majini.
  • @
    @leymanleyman74263 years ago Acheni unyumbu allah aliweka kifo kwa sababu zake 4
  • @
    @thulythatmustf35353 years ago Msipokuwa makini na hao manabii wa uongo mtapata shida saana. Anaweza kufisha na kufufua ni Allah peke yke tusidanganyane 10
  • @
    @pendokissatu9373 years ago Rest in peace Hans Pumzika Mdogo wangu 1
  • @
    @shalomizrael6673 years ago Mungu ashukuriwe kwa kuwaumbuwa KWEUPE manabii wa uongo 1
  • @
    @datiuschangura52063 years ago Pole sanaaaa familia kwa msiba lakin tukumbke si vema kuamin Mila potofu pia tusiwe waharaka kuamini manabiii wa sku Kama maandiko yasemavyo SKU za mwisho watakja manabiii wa uongo
  • @
    @nguruduali20143 years ago Hio ndio hasara yakujiingiza katika ukristo
  • @
    @godfreymsechu30063 years ago Jamani kufa sio kitu cha kwaida kufa wewe tujue nikawaida usidanganye watu au wewe ndio mchawi nini mbona wanadam mnamkosea Mungu YESU kusema WATUMISHI watafufua wafu sasa unazani WATUMISHI hao watashuka kutoka mbinguni yani hata wewe ukikaa vizuri na Mungu atakutumia tuu ... 1
  • @
    @godfreymsechu30063 years ago Jamani tuweke ushabiki na matusi mbali Haya ni mambo ya imani Kwani walio fufuka si nihapa duniani Kwani Mungu amebadilika imani inauwezo wakufanya chochote mimi nilizani watu wangeungana na nabii ili Mungu asikie maombi ya wengi lakini badala yake binadam tumekaa kama nyumbu mwenzao akikamatwa na simba wao huangalia na simba ikimmaliza anachukua mwingine sasa wewe unaesema ni ujinga kesho zamu yako ... 1
  • @
    @seremenikibwene86333 years ago Ww ndugu yangu ulie muislam, Mshukuru Mungu sana kwa kukujaalia ww muislam. Oneni wasiokuwa Waislamu wanavyo teseka na Laana ya M/mungu. Kila cku huwa Tunawaambia Nabii wa mwisho alikuwa ni mtume Muhammadi (saw) Hawa Wanaojipachika Unabii leo hii na kuwadanganya watu, Hawa Wamelaaniwa na sasa wanawazuia watu wasiingie ktk Uislam. Kwani Hamna Akili ya Kufikiri? ... 2
  • @
    @isackwilliam11053 years ago Kazi hiyo aliiweza yesu pekee yake nahakuna mwingine 1
  • @
    @abdulmakbulisunlies25043 years ago Imani kitu kingine sana yaani mtu afariki aje mtu amfufue aliefariki acheni kudanganywa na wale ma pastor ambao wapo ki biashara za kuibia waumini wao
  • @
    @mariamfaith99143 years ago We kufufua sio kazi rahisi ni kupiga maombi mpaka unatoa jasho unapinga Njoo kazi ya Bishop gwajima iyo
  • @
    @SalmaMohamed-sq7xj3 years ago Inasikitisha kwakweli poleni wafiwa mungu atawatia nguvu
  • @
    @moreenmbatha11473 years ago hadi nimetoka mbio nikuje huku kuona ya haya 8
  • @
    @jumakalukule53123 years ago HAHAHA kweli mwisho wadunia tutaonamengi 6
  • @
    @allymchonjo6043 years ago Tuna safari ndefu ikiwa hawa ndio vijana ambao taifa linawategemea wawe chachu ya mabadiliko+ 1
  • @
    @mbwanajuma21433 years ago Bangi ya "CHA ARUSHA" mbaya Sana🤣 2
  • @
    @123naenaee3 years ago Kwani hamjui hesabu? Kazaliwa 8/8/2003 lakini ana miaka 18? He was still a baby RIP 5
  • @
    @zuwenshemedy73823 years ago Wajiga sn hawa wachugaji anae fisha na kufufuwa ni allah peke yk 6
  • @
    @godfreymsechu30063 years ago Mungu hajafurahia tabia yako ikiwa Mungu amemweka kuwa mtumishi wake ujue umemkufuru Mungu kwa maneno yako mtandaoni na siku ile ya hukumu utayakuta hayafutika hivyo fanya ukijua iposiku nitajibu juu ya Haya ninayo unafanya
  • @
    @empressshiro61863 years ago 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ghaii this is more than serious 🤔🤔😳😳😳😳 1
  • @
    @marwawilliam36483 years ago Kwani Nabii anasemaje?! Poleni kwa msiba.
  • @
    @aminatanzanya74753 years ago Arumeru mfufuaj
    Mor watembea uchi 😃😃 acha movie iendelee
    5
  • @
    @juliuskitomari30573 years ago Aisee huyu mzee ana hekima Sana ,ana kipawa cha uongozi
  • @
    @Manyanyatv85513 years ago Hakuna nabii baada ya mtume Muhammad swallallahu a'layhi wasallama
    Acheni imanihizo
    Imani zilizo sahihi manabii wote waongo hebu zindukeni
  • @
    @calolinamwandali35993 years ago There's alot of nabiis,most are after money,kuweni makini,mtaperiwa acheni unabii waongo 1
  • @
    @godfreymsechu30063 years ago Kama kweli unampenda Mungu mbona unakaa upande wa kuwatukana WATUMISHI kwa hao manabii wazamani Mungu alipo wachagua alikuja kwako kwanza
    Mambo ya Mungu ni mafumbo pengine Mungu kaamua kumwonyesha tabia walizo nazo watu wake ili aombe kwa ajili yenu ...
  • @
    @abdallasaleh23033 years ago Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, Hakuna Nabii zama hizi usanii tu.
  • @
    @amanikhamis83923 years ago Daaa ndio maana Qur,ani ikawekwa maelezo juu ya manabii na mitume sasa mwenye masikio na asikie
  • @
    @shifaazawadi44383 years ago Ameshindwaje kumufufua nayy anajiamini muogope MUNGU
  • @
    @yusufuheri65243 years ago Dunia hii kuna baadhi ya watu wanavichwa ambavyo hakuna mtu anafaidika navyo isipokua kinyozi
  • @
    @johnmasanja17623 years ago Watu wangu wanaangamia kwa kukoswa maarifaa
  • @
    @brysonuronu58623 years ago Kaburi sio nyumba ya kudumu wala ya milele..Mjifunze na mtafute maarifa hasa mnapoongea na media
  • @
    @annapeter49943 years ago Ni kweli Tanzania misiba mingi ni ya kusukumiana. Bora watu wakemee hali hui
  • @
    @mosamossile91133 years ago Mngemfufua Magufur ingekuwa poah sana, ujuwe nyie wapigaji wezi tu, 1
  • @
    @kanalabdillahgaddafi54583 years ago Hizi niimani potofu.
    Huyo nabii Ni wauzushi.
    Ktk uislam tumeambiwa kua watakuja wengi manabii wa uongo.
    Ndio hao twawaona now
  • @
    @ilovejesus6663 years ago Wangemfufua Magu tatizo watu wanapenda kudanganywa sana hamna mchungaji mwenye uwezo ata wakuombea mtu apone kikohozi akiamungu tena 1
  • @
    @yohanayohanaadamu64839 months ago Kuna wa2 wanamambo ya ajabu duniani dar
  • @
    @aminaabdallah77022 years ago Kweli watu wanakubali kudanganyika yakua mwana damu ana uwezo wakurudisha roho yamwanadamu kama yéyé wakati ambae sio muumbaji ? wanasahau kua yesu ameumbwa kama Sisi ? lakini akapewa utukufu tafauti namungu ili yaokoze kua Kuna muumbaji wakutia roho kuliko yéyé yesu kwabahati mbaa shetwani anafanya kazi yake yakupotesha wanadamu duniani yesu sio muumbaji wala mungu !!!! ...
  • @
    @reemamwangi91923 years ago Nashangaa Tanzania Jameni, Mara mna manabii wakuu vile ile wachawi, enyewe mtihani huu
  • @
    @ireneassey7533 years ago Bangi sio nzur jaman HOF ya mungu akuna kabisaaa
  • @
    @abrahamsolomon2263 years ago Kama ni mapenzi ya mungu yatimizwe.....ila Kama ni binadamu mwenyez mungu aseme nae...hlf huyo kaka mweupe ana kiherehere Kama mke wa marehemu...mavi yake mbwa kbsa
  • @
    @witneskilinda50343 years ago manabii wa uongo Yesu alikwisha tabiri mathayo
  • @
    @happinesskwamboka15403 years ago My brothers and sisters no one has power over death only God alone can bring a human being back to life , jesus is the life and reselection, you had that the false prophets will and they are here so be careful we are in the ends days ...
  • @
    @aminatanzanya74753 years ago Nimefurah kuon mwendelez wake ss huyo alikuw anawz nn au bang nabarid ya arumeru imemp uchizi aa kwel kuwa uyaone 1
  • @
    @ashatimo46663 years ago AKILI HAWANA MAAMA MUNGU KAPANGA KUMUCHUKUA MJA WAKE NI NANI ANAFUFUA WATU?HAKUNA NABIII WACHUNGAJI ACHENI KUJIPA MAJUKUMU YA MUNGU
  • @
    @manish-fp1fb3 years ago Huwa nawaambia watu aliyetuletea haya mauzauza ametuweza sana.