Duration 3:59

Aangua kilio mbele ya RC Kunenge | | Rc atoa neno usilie mzee tupo hapa kukusikiliza

765 watched
0
2
Published 20 Jun 2021

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amewawaeleza wananchi, wafanyabiashara na wawekezaji mkoani humo kuwa atafanya mambo kwa kuzingatia sheria na kila mmoja ajue hakuna aliye juu ya sheria za nchi hivyo wakati wa utoaji maamuzi ama utatuzi wa jambo fulani pande mbili zenye mgogoro wawe tayari kuyapokea maana wakati mwingine utatuzi wake ni mgumu kidogo. Kunenge ameweka wazi hayo June 19 mjini Kibaha alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara na wawekezaji wa mkoa huo kwenye mkutano wa baraza la wafanyabiashara ambapo pia alitumia fursa hiyo kuzindua rasmi chombo hicho na kuzitaka Halmashauri za Wilaya nazo kuanzisha kwenye maeneo yao

Category

Show more

Comments - 0