Duration 3:19

WAFANYAKAZI WA AMBONI PLANTATIONS WALIVYO NUFAIKA NA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA.

73 watched
0
0
Published 11 Jun 2021

Katika kuhakikisha wafanya kazi wanatekeleza majukumu yao katika mazingira yanayolinda usalama na afya zao, OSHA ilifika katika kampuni ya Amboni Plantations iliyoko Pangani mkoani Tanga kwa lengo la kufanya ukaguzi, kutoa elimu pamoja na kuendesha zoezi la upimaji afya kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo.

Category

Show more

Comments - 0