Everlight Matinga
huyu ni mwimbaji katika kwaya ya Uinjilist Kijitonyama na ni kiongozi kama Katibu Mkuu wa Kwaya
Wimbo huu ni kati ta nyimbo zake zilizopo katika Album yake ya nyimbo za kitabu cha mwimbieni Bwana katika Lugha ya Kichaga cha Machame
Ukihitaji unaweza kuwasiliana naye kwa namba ya simu ya mkononi
0767388920 na 0687652288
Karibu tuimbe wote zimbo huu, HERI KUMJUA...........