Duration 9:10

CCM, Kuna Silaha Msiyoijua

2 323 watched
0
25
Published 4 Jul 2020

Hitler Alivamia Urusi, Akaua Mamilioni ya Watu kwa Uovu Mkuu na Majivuno ya Kutisha. Ila Hakujua Anayeonewa Saa zote Akili yake Inawaza Mbinu Mpya. Warusi Waligundua Silalaha Mpya "Multiple Rocket Launcher" Sauti yake tu ilisikika Kama Kilio cha Mashetani! Askari wa Hitler wakisikia Sauti hiyo walitupa Kilasilaha Na Kuomba Ardhi Iwameze. Kilio Cha Aina Hii Kinamsubiri Magufuli Na CCM. Ushenzi wao Ni Kufuru. Na Hawatajua Upepo Umewageukaje.

Category

Show more

Comments - 7