Duration 10:17

IFAHAMU CORONA: IDADI ya WALIOKUFA Mpaka Sasa, DALILI na JINSI ya KUJIKINGA..

24 711 watched
0
57
Published 4 Feb 2020

IFAHAMU CORONA: IDADI ya WALIOKUFA Mpaka Sasa, DALILI na JINSI ya KUJIKINGA.. Shirika la Afya duniani WHO imesema kumekuwa na visa 98 katika mataifa mengine 18, ingawa hakuna vifo vilivyoripotiwa. Visa vingi vya wagonjwa hao vilitokana na watu waliosafiri kutoka mji wa Wuhan, eneo ambalo mlipuko wa ugonjwa huo ulianzia. Je unaujua ugonjwa huu hatari ambao mpaka sasa umeua watu zaidi ya watu 420 duniani? angalia kujua chanzo, dalili na namna ya kujikinga.. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?list ... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 16