Duration 8:15

Maajabu Ya MVUA Ya SAMAKI Iliyonyesha Nchini MEXICO.

by YIB
488 054 watched
0
2.1 K
Published 24 Sep 2020

In This Video: Mvua inaponyesha huleta matokeo mbalimbali katika jamii zetu, wakulima hufurahia kwa kumwagiliwa mazao yao, wafanya biashara huchukia kwa kukosa wateja, watoto hukatazwa kutoka nje, na vijana hutumia kama kigezo cha kuchelewa makazini. Lakini hiyo ni mvua ya kawaida tena tuliyoizoea na kuiona kila siku, swali ni je ushawahi kutana na mvua ya mawe? Au aina nyingine za mvua ambazo huleta taharuki kubwa miongoni mwa watu kwani ni ngumu sana kuamini wanachokiona, ulishawahi kusikia mvua ya samaki? Vipi kuhusu bui bui na viumbe wengine ambao huanguka kutoka angani, yote haya tutayajua hapahapa kupitia video hii. Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg Check out other videos on the Channel: Mambo Ya Ajabu Yaliyojitokeza Katikati Ya Jangwa Nchini Tunisia.! /watch/QTaqnK8aJhdaq Walikutana Kwenye Treni Hawajuani, Lakini Sura,Nwele, Mavazi, Miwani, Vyote Vinafanana.! /watch/4DHDdTRXTg6XD Mtoto Huyu Akilia Anatoa Machozi Ya Almasi (Diamond) .! /watch/owD41jH4YTp44 Jiwe La Ajabu Linaloelea Hewani, Chini Halipo Juu Halipo.! /watch/caGhF6l60l-6h Wanasayans Walikosa Majibu Walipoulizwa Kuhusu Mambo Haya.! /watch/wpj7Xhef4sFf7 Vitu Vya Ajabu Vilivyonaswa Na Camera Za Drones.! /watch/4CZR0UD6tZx6R Wafungwa Waliotumia Akili Nyingi Mpaka Kutoroka Gerezani.! /watch/Ujyi0DmFtZWFi Nchi Yenye Joto Kali Hadi Magari Yanayeyuka Yenyewe..! /watch/gp9ABEzdkZLdA Ukweli Kamili Kuhusu CoronaVirus (COVID-19) /watch/AAvlFU5_ZsD_l Hii Ndiyo Familia Yenye Watoto 6 Wanaotembea Kwa Miguu Minne.! /watch/E178Imr43p-48 Mtoto Huyu Anabadilika Kuwa Jiwe Siku Baada Ya Siku.! /watch/Af7dPifx99nxd Watu Hawa Walimshangaza Kila Mtu Kwa Mambo Waliyoyafanya.! /watch/Uj0Zipn1aUw1Z Kama Matukio Haya Yasingerekodiwa, Hakuna Ambaye Angeamini.! /watch/sD8rieEGKcRGr NINGYO: Nyama Iliyomfanya Binti Aishi Miaka 800.! /watch/ASovffWFxL1Fv Mafuvu 300 Ya Watu Yakutwa Chini Ya Maji, Hakuna Anaejua Nini Kiliwapata.! /watch/4WzGAefe1-9eG KIjana Anaedai Ametokea Mwaka 2075 Atabili Vita Ya 3 Ya Dunia Mwaka 2020.! /watch/EMGjnT3SP77Sj Watu Hawa Walibadili Muonekano Wa Sura Zao Na Hiki Ndicho KIlichowapata.! /watch/ojEiLSljspdji Hata BAUNSA Wa Kiasi Gani, Kwa SHAOLIN MASTER Lazima Akae Chini.! Na Hii Ndiyo Sababu. /watch/cfH9Gw0s1fzs9 Sehemu Yennye Nguvu za AJABU, Hata Ufanyeje Hauwezi Kuanguka.! /watch/0BxSVen5gLK5S Makumbusho Yaiyojaa Miili Ya Binadamu Isiyooza.! /watch/oar_yI9a2Ssa_ Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.! /watch/Uba3csqNz0HN3 Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.! /watch/QabeIvrai23ae Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.! /watch/8gg-WZ0gUtrg- Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/No-MbpMI99MM BG Music: "Senbazuru" Kevin MacLeod (incompetech.com)Licensed under Creative Commons: By Attribution 4.0 Licensehttp://creativecommons.org/licenses/by/4.0/ Lost Time Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Darhood Written by: Dijjah Edited & Produced by: Camarah #YIB #YourInformationBook #MatukioYaKusisimua .

Category

Show more

Comments - 155