Duration 5000

MWEZI MTUKUFU WA RAMADAN

77 watched
0
0
Published 14 Apr 2021

#MtazamoExtra #ZaidiNaZaidi Tukiwa tunauanza rasmi mwezi mtukufu wa Ramadan ambapo waislamu duniani kote watakuwa kwenye mfungo wa siku 30, je unafahamu ni yapi ya msingi unapaswa kuyatambua kwenye mwezi huu, gharama za vyakula sokoni zipoje kwa sasa ikiwa uhitaji wa chakula huwa ni mkubwa kwenye mwezi huu? Hakikisha unatazama Mtazamo Extra ya Plus TV, Jumatano hii LIVE kupitia DStv channel 294 na Ally Kashimiry ambapo atahakikisha tunayajua yote haya kiundani, usikose kesho kuanzia saa 6 kamili za mchana.

Category

Show more

Comments - 0