Duration 2:12

Magoli | Simba 2-0 Namungo - Ngao ya Jamii 2020

229 610 watched
0
812
Published 30 Aug 2020

Simba SC wameendelea kuwa wababe dhidi ya Namungo FC kwa kuchukua Ngao ya Jamii 2020 wakishinda mabao 2-0 mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Mkapa. Magoli yamefungwa na John Bocco kwa penati pamoja na Bernard Morrison. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 91