Duration 43:15

Women Matters (2): Wasichana wasimulia mateso waliyopata Uarabuni walikoenda kufanya kazi za ndani

40 700 watched
0
338
Published 9 Sep 2019

Kwenye episode hii ya #WomenMatters, Lillian Mwasha anazungumza na Maimuna na Zawadi wanaosimulia mateso waliyopitia walipoenda Uarabuni kufanya kazi za ndani kupitia mawakala ambao hupeleka wasichana huko. Pia amealikwa mwanasheria/wakili maarufu nchini, Albert Msando

Category

Show more

Comments - 797