Duration 26:24

SOGA: Lil Ommy afunguka siri ya kuendelea kuwa mtangazaji BORA wa redio, azungumzia safari ya DUBAI

5 818 watched
0
131
Published 16 May 2019

Kwenye episode mpya ya #Soga, Skywalker amezungumza na mtangazaji wa kipindi maarufu cha redio, The Playlist cha Times FM, #LilOmmy kuhusu safari yake ya Dubai, sababu ya kuendelea kuwa miongoni mwa watangazaji bora wa redio, nidhamu yake katika kazi na mambo mengine

Category

Show more

Comments - 44
  • @
    @benjamincharles30135 years ago SnS.. I can see your movement. Mko vzr sanaaa! You are the next CNN trust me. Keep on doing it right 2
  • @
    @benjamincharles30135 years ago Noma sanaaaa! Kati ya presenters wakali sana ninaowakubali. You are the best 1
  • @
    @RamazaniMulongeca5 years ago nawakubali sana mtabaki kuwa juu, this is revolution. Mtangazaji kukaa kitako kwa Mtagazaji mwingine nakupiga story zakiahina is not a joke. Big up two of the best presenters in TZ and . ... 3
  • @
    @dn.n49835 years ago Be bless you all mnafanya kazi nzuri sana tuko pamoja tuige mfano 1
  • @
    @wacundirangu16615 years ago Super proud of you !!
    Acha nicatch up kwanza...
  • @
    @ilovejesus93035 years ago Soga nzuri. Sky napenda unavyo appreciate kazi za wenzako utafika sana mbali. I love SNS and I love Ommy too. Wote mpo serious na kazi, you know what you are doing🤩
  • @
    @johariabdalla33195 years ago Hawa ndo mafundi..na kakosekana mmoja tu hapo Millard Ayo,pangekuwa hapatoshiii,watangaji bora kwangu ni hao watatu,wanajuwa na kujielewa pamoja na kuongea pia,big up wazee mpo juu
  • @
    @ellymakongo6565 years ago Money isn't everything @lilyommy, is just a thing among things that supports life, life is everything. 4
  • @
    @faboloustv1705 years ago watu wabaya wote mmekutana... eyo Skywalker I appreciate what you are doing.. keep going broh
  • @
    @kingndinyo97645 years ago Duuu Hulkshure ilikuwa hot Sana big up Lil
  • @
    @greceedwini21545 years ago Lil ommy ee panda zetu za huku kuna tukiio LA aajabu sana
  • @
    @lilianjeremia10245 years ago Bila pesa hakuna kitu ongera sana ommy kwa ilo bata
  • @
    @sirmwita33515 years ago Manguli wawili, my favorite media presenters wakiwa pamoja apo sihitaji WiFi ndo niwasikilize! Ni charge tu.
  • @
    @leonardmavele1835 years ago Lily ommy ukienda wasaf fm pale Utatisha snaaa, Put it in you're mind bro 1
  • @
    @saumuathuman2065 years ago kabsa ukisafiri akili yabadilika kweli umesema 1
  • @
    @Cyper2555 years ago Nimeamka asbh nikaiona hii interview. Nikasema hii sio ya kukosa hacha nichelewe kazini leo.
    Najua sikosi cha kutoka nacho hapa.
    1
  • @
    @benjaminfataki68985 years ago tz mna maendeleo ya mziki wa arabu hawana muzic yao nimibaya. wanaliya wakiimba.
  • @
    @darkplatnum90065 years ago Hiv huy ana dislike enter view kam hz anakua na akil timam kwel 1