#sirizabongo
Inasemekana aliyekua mkuu wa mkoaDar Es Slaam Paul Makonda Kukamatwa na Polisi Tanzania kwa ajiri ya mahojiano zaidi kwa kipindi cha uongozi wake kunyanyasa watu!
@sanjoadamson22653 years agoHongera sanaa rais wetu kwakazi nzuri unayofanya. 2
@
@yusuphntamagara80503 years agoMasha allah hizi ndokazi bado chunguza tumbua macho ayo majip. 1
@
@lukagulagekidehele57883 years agoNaipenda sana serikali ya mama samiah kupitia msimamo wake. 1
@
@nicholasgabriel88053 years agoRais samia unafaa mama nakutakia maisha marefu amina.
@
@mnegaamina60853 years agoNaomba amani tusiwe na visasi vya maisha. 1
@
@paulojoseph23043 years agoSito acha kumkumbuga magufuli. Mama anaruka ruka tu hamna kitu anafanya. 3
@
@forestynjombeiringatunteme56592 years agoVisasi vitatufikisha wapi jamani watamzania.
@
@noelporcalp79803 years agoMuwe mnaandika vitu vilivyo sahihi msiwe waongo.
@
@elphazjavan67893 years agoLakin kiin cha yote haya ni kwa sababu wote ni team magu.
@
@pendomariki65623 years agoJaman alishaacha uongoz haina haja ya kufufua kabur watu wamesahau. 2
@
@geodfreysarakya86663 years agoAcheni uonngo nataka nisikie amekamatwaa.
@
@ayishaayisha80533 years agoMhm mungu wangu. Jamani tanzania aibu kila siku.
@
@louisnyoni41393 years agoHuu utawala wa mama, unalingana na kiapo alichokula cha kufuata utawala wa sheria watanzania tunamtakia maisha marefu mama samia suluhu, kwa sababu sheria. ...Expand1
@
@noelporcalp79803 years agoKuliko kuandika uzushi bora ukalime fungeni tena vyombo hivi vinavyotoa habari zisizo sahihi.
@
@aypoul1073 years agoAcha uongo unatangaza jambo ambalo watunwanasema silo umeloona.
@
@kamchachaslashy21243 years agoWamkamate na ba mkubwa mbona ye hawamsemi katiba mpya.
@
@bigbossimamausimamishweupe29813 years agoNenda kwa mpalange kama umeshindwa utangazaji.
@
@christophermhanze27883 years agoKuna mambo mengi sana huwa ya nafanyika na viongozi wakubwa lakin rais huwa anachelewa sana kugunduwa mpaka anavogudua watu wameumia. Mama atulie atayaona mengi sana! 1
@
@luckygmdegela84773 years agoKaz tunayo, mboe mbona mna muogopa au mnashindwa mkamata?
@
@forestynjombeiringatunteme56592 years agoHuyu mwandishi na mtangazaji mpumba vu kweli sabaya alibaka nani? Hivi kwa akili ako timam sabaya mkuu wa wilaya na mwenye mke safi na mzuri useme alibaka makonda mumuache hafu we mwandishi kama mnafiki hivi, makonda alifanya kazi nzuri sana kwa lengo la kuliacha taifa kuwa salama. ...Expand
@
@khamisihaji29053 years agoMuongo mbona hatuoneshwi anaoneshwa anakunywa juisi na chipsi aliekamatwa tumemuona. 1
@
@allymjenga74563 years agoWale wanaonzisha taarifa za uongo na wale wanaosaidia kuzieneza bila kuthibitisha wawajibike.
@
@malebobutakila71013 years agoNaaombe viongozi waoote wa nchi yetu tz, wawe na afya njema.
@
@omaryhassan95283 years agoMakonda ulikuwa komandoo wa kufuta madawa ya kulevya hongera kwaihiloimara. 1
@
@mwanumwanu15133 years agoHiyo ni vita ya madawa tu hamuwez kutuambia lolote. 1
@
@mohamedabdallah22573 years agoKama ni kweli aende tu mana alizidi sana huyu jamaa! 2
@
@nelsononyango59203 years agoMungu ameshuka waofu na wauwaji kuangamizwa juzi mkuu wa boko haram wacha suluhu atoe suluhisho kwa uofu je hapa kenya kukoje?
@
@johnsinyinza74503 years agoAcheni kudangaya mtaacha tuanze kusherekea.
@
@tatoorashedi17873 years agoHawa wanaume acha ww mtangazaji unaeongea pumba unaushahidi mbona hamkuongea kipindi cha matukio.
@
@azizaaziza91133 years agoUmbea wako muwe mnayahakikish ndipo muyafikishe waanishi km hawa ni hatari sana.
@
@shijalameckmpemba45293 years agoMshezi huyu mwandishi, amekamatwa baba yako alikuwa ana zini.
@
@yohanapetro49373 years agoMama samia oye pigakz ili 2heshimiane wote tujue kama shelia ipo nahakuna alie juu yashelia sabaya afungwe miaka 25 makonda 27 tena bila dhamana. 3
@
@jumamnumbwa94833 years agoJamani mbona kama naona nchi mbili hizoo. 1
@
@kennyrogers47343 years agoTuonyesheni video kama alivyoonyeshwa live kama tetesi msitoe habari za tetesi bc mtasambaza ujinga mitaani em fatilieni mtupe habari za ukweli wadau acheni tetesi. 1
@
@georgebenard39233 years agoNdo maana mlifungiwa vyombo vyenu, waeleze wajinga makonda hana wala sabaya, sisi tunajua iyo ni ile vita ya madawa. 2
@
@nivicaspect35973 years agoMhh. We umesikia wapi. Inasemekana maana take nini. Pamoja na uwongo wako hongera maana angalau umeanza kuongea kiswahili. Kutoka kusemahadsio mchezo. 2
@katapgelvas98033 years agoPole yake makonda kwakuondokewa na magufuli walikusifiya leo hiiwanasema ulihujumu serikali mwisho wasiku kaburi litawekwa minyororo rip umemuacha matatani makonda mungu anakuona.
@
@zenaabdallah37973 years agoJamani serikali tuache visasa kwa vijana wetu hawa vijana wamekosa nn? Mbele ya mungu. Raic wetu hawa ni vijana wako ni majembe ya kazi waangalie kwa jicho. ...Expand
@
@samweliclementmakala73813 years agoMamaaa. Uko vzur walinyanyua mabega mmno hao hakuna alie juu ya sheria hongers. Msma samia tengeneza tz mpya lete matumain kwa watznia.
@
@dullazero74653 years agoNilitarajia uyu angekua wa kwanza kukamatwa.
@
@msetikebwasi14693 years agoSamia akitaka tumwelewe vizuri basi awakamate wazee wa vijisent na aliyesema kama ni majani mtakula lakini ndege ya rais inunuliwe na ndege ikanunulia mbovu. 1
@
@faustinemavere14503 years agoHivi nyie waandishi wa habari mna nini na makonda pumbavu zenu mlikuwa wauxa madawa ya kulevya hamjitambui kabisa. 1
@
@geraldmosha80683 years agoHizi chaneli zingine cjui mamlaka zinaona au hazioni? Kila tcra wanasema wanadhibiti mitandao yakijinga km hii lakn bdo tu tunaona wanapost upuuzi.
@
@luckygmdegela84773 years agoIla hizo habari ni za uongo, hayo yote mbona hatukuyaona watu wa dar, waongo nyie na sabaya mme mtengenezea zengwe za ajabu. 1
@
@gervasinjawi16393 years agoKikwete na mtoto wake liziwani wasichwe hapo ndio tutaona sheria ni msumeno maana nao waliiujumu nchi na walishs tenda unyama kuwafanyia kina babu sea,
@
@amanimanase87993 years agoKamuona makonda mbona kikwete hamuoni huyo raisi ni k.
@
@mpingeally9233 years agoSasa samia kwani alikuwepo wapi kipindi icho salikuwa nao hao sasa mbna analeta michongo siyo samia suluhu ndiyo muhusika wa haya mambo yote.
@
@nyamizibema60783 years agoMakonda hakuwa hivyo, acheni kuzua mambo, kawaida mchapakaxi hapendwi, we mama hao unaowatesa leo, ni watoto wa wanawake wenzio, mnaomchukia /mnaowachukia ndiyo wapiga dili? Wekeni chama chenu rehani.
@
@yusuphfesto19313 years agoHakuna kitu hapo sema ni mafisadi wamepata mwanya wa maovu tu, jpm njoo uone mambo yashabadilika utatoa machozi na wanyonge wote.
@
@alexkabale87723 years agoNikweli makonda alimteka dewiji ahukumiwe2 mungu anamwona.
@
@husseinkinduu96613 years agoNi sahihi kabisa kwaifikie wakati ambapo kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Kama alikosea ni lazima sheria ifuate mkondo wake bila kuangalia kuwa alikuwa na wadhifa gani hapo nyuma. Ni vyema wote waliokuwa wakikosea kwa kuwa mgongoni mwa watu wasakwe na kupata stahili zao. ...Expand
@
@shizaarfred40593 years agoHuu ni mpango wa kuteketeza wanaufunzi wa jpm tusubili kuona watuhumiwa wanaongezeka mfano kama allyi happy na chalamila maan ndo wanafunzi imala wa jpm ila machozi ya watz hayata wacha salam. 1
@
@jenniphermwakasita68303 years agoHiserikali itakua ni ya kijinga iyache kukamata walio kwapua mamlioni hadi waziri ameingilia kati ukamate wakina makonda wasikua na faida kweli mpumbavu ushangilia uninga.
@
@simonlulenga70623 years agoBashite uwaruke usikubali kuwa hilo jina la makonda ni la kwako. We waambie wamtafute makonda wewe unaitwa bashite.
Related videos for Masikini Utatoa Machozi Kinacho endelea Makonda Ukweli wote Mpaka Kukamatwa na Poisi, Siri nzito hii: