Duration 14:46

Ruge Mutahaba azungumzia bifu ya Diamond na Alikiba na athari ya timu zao

41 166 watched
0
245
Published 25 Nov 2016

Kupitia kipindi cha XXL, Ijumaa ya November 25, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, alizungumzia mtazamo wake kuhusu bifu ya Diamond na Alikiba na athari ya timu zao, malalamiko mengi kuhusu yeye na station ya Clouds FM.

Category

Show more

Comments - 46